Books

book

Should we let our children into our marriage squabbles? Does it help or worsen the already worse situation? Does it mould them into responsible parents and patriotic citizens? Must we doubt each other in marriage?In this lovely but tragic story, Injendi’s true love for his family – wife and daughter comes to an abrupt end when his wife’s doubts lead to Nekesa’s killing. A rosy union turns ....

  • Writen byHamisi Wawire
  • Year2022
book

The Last Known Maidens of Ramogi is a myth about the origin of a mysterious lake. Anyango Nyar Gwasi, one of the last maidens of Ramogi—the father of the Luo tribe’s ancestors—wishes for the first wife of Ramogi to live among his descendants. Anyango Nyar Gwasi is chosen as the reincarnation of Ramogi's first wife, as many before her have been, including some from her own bloodline. She disc....

  • Writen byBen O. Okech
  • Year2023
book

Idili alikuwa kondeni adhuhuri hiyo akiwa na baba yake Bwana Rajua. Jua la utosi lilichoma tosi zao bila chembe ya shufaka. Kijasho chembamba kiliwatiririka tiriri kwa ghadhabu na hamaki. Kijasho ambacho kililovya chepechepe mademu waliyoyavaa. Jasho ambalo walilifuta kwa ncha ya vidole vyao. Kwa yakini, ni kana kwamba jua lilikuwa limeongezwa makaa kama wenyeji walivyokuwa na mazoea ya kudhukur....

  • Writen byGitau Nduta
  • Year2022
book

THE POEM AND THE POET The beauty of a poemReflects the beauty of the poet.The wisdom thereinIs the wisdom within. The writing in metaphorsExhibits the poet’s anchor. The style in the rhythms Reflects the poet’s mystics. The stanzaic structure of a poemIs the organization of the poet.The power of the wordsIs the poet’s authoritative use of the words. A poem is what the poe....

  • Writen bySr. Esther Jeruto Koros OSF
  • Year2021
book

Siku za mwambo. Msimu huo wa ukosefu wa pesa na vyakula watu waliitabika sana. Waanga wa njaa ama walilalia mate au chakula cha mshindio. Huo ndio wakati ulanguzi wa kibinadamu ulizuka. Wasiwasi ukazuka kwa watu kuhofia usalama wao. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi ya Wahaka biashara nyeusi ya kuwanunua na kuwauza wanadamu iliingia masikioni mwa wengi. Masikio hayakuamini madai hayo kabl....

  • Writen byTIMOTHY OMUSIKOYO SUMBA
  • Year2023
book

Mshairi ni mtunzi wa mashairi. Kimsingi, neno mshairi limebeba wataalamu wote wenye ujuzi wa kutunga na kughani mashairi. Hata hivyo mghani ni mtu anayeimba mashairi. Malenga ni mtu anayetunga na kughani mashairi. Manju ni stadi wa kutunga na kuimba nyimbo katika ngoma. Ushairi ni utungo wa kisanaa unaotumia lugha teule na mpangilio maalumu wa maneno badala ya lugha ya nathari. Nathari ni maandish....

  • Writen byTIMOTHY OMUSIKOYO SUMBA
  • Year2023
book

The Last Hand of Ramogi is an epic tale about the life of a legendary Luo chief, diviner, and healer named Gor Mahia. It captures his childhood trials and the challenges he faces in claiming his birthright during a fierce battle for the succession of the royal stool of Sigama. He becomes chief at a period when the encroachment of colonial powers begins to reshape the governance system and the old ....

  • Writen byBen O. Okech
  • Year2023
book

Nisaidie! Hiki ni kitabu cha watoto. Kazi bunilizi hii inazingatia mahitaji yote ya mfumo mpya wa elimu (mtalaa wa umilisi) kama vile ujenzi wa masuala mtambuko. Utajiri mkubwa wa yaliyomo ni burudani katika lugha sanifu na msamiati teule ambao umeshiba mafunzo kemkemu ya maadili. Visa sisimuzi vimesukwa ili kumpa mtoto ilhamu ya kutaka kujua zaidi na kumjengea uraibu wa kusoma kwa ufasa....

  • Writen byTIMOTHY OMUSIKOYO SUMBA
  • Year2022
book

The innocence of childhood is a deep-sea, unexplored, fantastic like one lost in dark woodland. There is nothing comparable to that state where jealousy, love, pain and death are unknown. It is a life full of fantasizing, happy frolicking, being treated like royalty, being spoiled until adulthood is suspended before you and you have to make a choice that satisfies adult world expectations. I want ....

  • Writen byALFRED N. NYAMWANGE
  • Year2022

Showing 1 - 10 from 24

Subscribe our newsletter for newest books updates