Books

book

The Last Pillar of Ramogi vividly brings to life the Luo legend of Luanda Magere, a figure embodying unparalleled strength, power, and pride—qualities reminiscent of tribal gods who walk among their people to fulfil their earthly destinies. Yet, Luanda Magere’s story takes a tragic turn as he falls prey to deceit fueled by trust and pride, illustrating that great power comes with profound resp....

  • Writen byBen O. Okech
  • Year2020
book

"Msongo wa mawazo unanitafuna akilini. Ujio wa korona ulinipotezea ajira na kulegeza biashara yangu ya kuuza vipuri vya tarakilishi. Jakamoyo nyingi kwangu zinasababishwa na kuugua kwa uchumi. Hali yangu si hali ilhali..."Elifela anatafuta washauri-nasaha ili wamshughulikie afya ya akili. Je, msichana huyu atapata afueni baada ya changamoto sufufu kummeza? Bila shaka kazi hii iliyosukwa kwa utaala....

  • Writen byTIMOTHY OMUSIKOYO SUMBA
  • Year2022
book

“Nikumbukapo mashaka tipitipi yaliyoizonga familia yetu naamini kuwa ulimwengu umefurika malimwengu ya kila nui ambayo hukingama mbele ya walimwengu maishani na kusababisha pandashuka. Kama barabara ndefu ilivyo safari ya Maisha haikosi mabonde, vilima, milima, tambarare na kona. Je. Ni gurufu gani isiyokuwa na gurufu? Kwa bahati njema mawimbi ya safari ngumu hayadumu maishani, huisha namna....

  • Writen byTIMOTHY OMUSIKOYO SUMBA
  • Year2020
book

The Last Hand of Ramogi is an epic tale about the life of a legendary Luo chief, diviner, and healer named Gor Mahia. It captures his childhood trials and the challenges he faces in claiming his birthright during a fierce battle for the succession of the royal stool of Sigama. He becomes chief at a period when the encroachment of colonial powers begins to reshape the governance system and the old ....

  • Writen byBen O. Okech
  • Year2023

Showing 21 - 24 from 24

Subscribe our newsletter for newest books updates