Books

book

Second Chances by Esther W. Kamande is a gripping tale set in the vibrant landscapes of rural and urban Kenya. It follows Mary, a young girl from a humble village, as she becomes entangled in dangerous friendships and is coerced into drug-related activities by those she trusts. Torn between the values of her upbringing and the allure of city life, Mary must fight to reclaim her future and break fr....

  • Writen byESTHER W. KAMANDE
  • Year2022
book

Nimeketi katika chumba cha mhadhara nikiwa nimezama katika bahari ya luja. Kujishika tama kwangu kwa mkono wangu wa kushoto kunaashiria mengi kwa wanaoyatumia macho yao vizuri humu chumbani. Nimezongwa na mseto wa mawazo. Ninawaza zaidi juu ya ulitima unaonitawala mithili ya simba kwenye himaya yake. Mawazo haya yanaufukuzilia mbali kabisa umakini wangu humu darasani.Wakati huo mhadhara ....

  • Writen byALEX BARASA
  • Year2022
book

Nikwambie mapema, nawe usifikiri nakudanganya ninaposema nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wenye akili za sumaku, wala usiseme ninatia chumvi! Sipingi, kuna wakati nilinyakua nafasi ya pili kwenye tathmini za mitihani, ila si chini ya hapo. Nilijaribu sana kuwa kama wengine wenye nafasi za hali shuleni lakini changamoto zilikuwa nyingi ajabu. Ungeuona mkururo wa watoto ukiingia skulini kila asubuhi ....

  • Writen byDENNIS SHONKO
  • Year2023
book

Destiny is not a matter of chance but a matter of choices. It is not something we should wait for. We have to achieve something, and how we achieve it depends on our preferences. If you are going to expect anything, you must create it by your choices. Success requires a deliberate effort to achieve. Everywhere in the Bible where Success is cited, the condition attached to it is choices.God created....

  • Writen byDANIEL AMINGA
  • Year2022
book

Rock of the First Wife (Kit Mikayi) is rooted in the rocky ridges of Seme. When young Okello and Nyowila meet at a festival organized by the great chief, their passionate union sets them on a destructive path. Their relationship, forbidden by tribal customs, brings upon them a curse so powerful that only Nyowila’s sacrifice at the sacred rock of Kit Mikayi can contain the Chira.Years later, howe....

  • Writen byBen O. Okech
  • Year2023
book

"Kuka na Kuku" ni kitabu cha watoto. Hadithi hii sisimuzi inazingatia mahitaji ya mfumo mpya wa elimu (Mtaala wa Umilisi, CBC) hususan masuala mtambuko na matokeo maalumu yanayotarajiwa. Kuka alikutana na ndege ampendaye. Je, ni ndege gani? Je, walikutana wapi? Walisemezana nini? Kuka alijua aina ngapi za ndege ampendaye?....

  • Writen byTIMOTHY OMUSIKOYO SUMBA
  • Year2023
book

Adhabu kwa Maimuna ni kitabu cha watoto ambacho kimesukwa kwa utaalamu mkubwa. Kazi hii ya fasihi kwa watoto inaangazia uadilifu katika jamii. Maimuna anakosa kujumuika na wanafunzi wenzake uwanjani wakati wa michezo. Je, kwa nini?Mwandishi amezama katika mafunzo ya maadili kwa kisa sisimuzi ambacho kinathibitisha kuwa siku za mwizi ni arubaini. Je, mshukiwa ni nani?....

  • Writen byVIENNA W. WANASWA
  • Year2022
book

Maarifa, born and raised in town is excited about visiting his grandfather upcountry. He is used to urban life. He wants a juicy story to tell to his friends. While at his grandfather's home, he is given a warning that he fails to heed. He finds himself in danger. How will he find his way to safety? What lessons does he learn?....

  • Writen byESTHER W. KAMANDE
  • Year2022
book

In the modern era where technology has taken over everything, it is important to try and preserve our African traditions and what we believe in. The Native Daughter is a book dedicated to reminding our children of their origins—what their forefathers believed in, and the gift that there is waiting.....

  • Writen bySALOME J. MARANGU
  • Year2022

Showing 11 - 20 from 24

Subscribe our newsletter for newest books updates