Afueni
-
Writen byTIMOTHY OMUSIKOYO SUMBA
- Year2022
"Msongo wa mawazo unanitafuna akilini. Ujio wa korona ulinipotezea ajira na kulegeza biashara yangu ya kuuza vipuri vya tarakilishi. Jakamoyo nyingi kwangu zinasababishwa na kuugua kwa uchumi. Hali yangu si hali ilhali..."
Elifela anatafuta washauri-nasaha ili wamshughulikie afya ya akili. Je, msichana huyu atapata afueni baada ya changamoto sufufu kummeza? Bila shaka kazi hii iliyosukwa kwa utaalamu mkubwa na kukolezwa ubunifu aula itaibua mawazo chanya na kutubwagia fikira faafu ili kujua kusuluhisha matatizo yanayokikumba kizazi cha zama hizi.
4 COMMENTS
Donec suscipit porta lorem eget condimentum. Morbi vitae mauris in leo venenatis varius. Aliquam nunc enim, egestas ac dui in, aliquam vulputate erat.