NISAIDIE
-
Writen byTIMOTHY OMUSIKOYO SUMBA
- Year2022
Nisaidie! Hiki ni kitabu cha watoto. Kazi bunilizi hii inazingatia mahitaji yote ya mfumo mpya wa elimu (mtalaa wa umilisi) kama vile ujenzi wa masuala mtambuko.
Utajiri mkubwa wa yaliyomo ni burudani katika lugha sanifu na msamiati teule ambao umeshiba mafunzo kemkemu ya maadili.
Visa sisimuzi vimesukwa ili kumpa mtoto ilhamu ya kutaka kujua zaidi na kumjengea uraibu wa kusoma kwa ufasaha.
Watoto wanastahili kupewa au kusaidiwa kuwa na vitu vya kimsingi maishani. Je, haki za watoto ni zipi? Je, shuleni na hospitalini hupatikana haki gani?
4 COMMENTS
Donec suscipit porta lorem eget condimentum. Morbi vitae mauris in leo venenatis varius. Aliquam nunc enim, egestas ac dui in, aliquam vulputate erat.