Safari ya Pwani
Na Vienna Namweyi Wanaswa
Safari ya Pwani ni kitabu cha wanafunzi wa gredi za chini katika shule za msingi. Hadithi hii sisimuzi inazingatia mahitaji ya mfumo mpya wa elimu Mtaala wa Umilisi, CBC hususan masuala mtambuko na matokeo maalumu yanayotarajiwa.
Paulo ni mwanafunzi mzuri. Je, uzuri wake ni upi? Anatuzwa nini? Katika safari ya Pwani Paulo anajifunza mambo mengi. Je, ni yepi hayo?
Mwandishi wa kitabu hiki, Vienna Namweyi Wanaswa ni mwanafasihi stadi ambaye ameandika vitabu kadha wa kadha katika kiwango hiki.
ISBN : 978-9914-773-07-1
editor's pick
latest video
news via inbox
Subscribe to our newsletter