Dua za Ushindi

Last Updated: October 21, 2024By

Na Thimothy O. Sumba

“…Sikuchoka kumshukuru Mola kwa wema wake kwangu na kwetu. Dua ziliitoa familia yetu from grass to grace. Dua zimenitoa mimi from zero to hero. Dua ni nguvu za maisha. Dua ni nguzo za mafanikio. Dua ni ngao dhidi ya maovu. Dua ni ushindi…”

Je, dua zitamfanya Mwenge mshindi maishani licha ya changamoto kadha wa kadha? Je, ushindi wake utaifaaje familia yao na jamii pana?

Kazi hii iliyosukwa kwa ufundi mkubwa na kukolezwa ubunifu itawanyunyizia wasomaji fikira faafu ili wajue namna ya kusuluhisha matatizo yanayowakumba.

ISBN: 978-9914-41-270-3

Value: 349 Ksh

Buy a copy here:

 

 

editor's pick

latest video

news via inbox

Subscribe to our newsletter

Leave A Comment